Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TAKWIMU: Yanga walikuwa bora kuliko Simba

Simba Vs Yanga Chama Yulee.jpeg #TAKWIMU: Yanga walikuwa bora kuliko Simba

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Takwimu za mchezo wa dabi wa Kariakoo kwa kikubwa zimewabeba Yanga SC dhidi ya Simba SC.

Yanga walikuwa bora kwenye maeneo mengi na ndio maana walifanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa goli 5-1.

Hadi mpira unakwisha (full time), Simba alikuwa akiongoza kwa possession lakini alizidiwa kwenye shots on target, Yanga alikuwa nazo 8 Simba 2, shots of target Yanga 3, Simba 4.

Kwa upande wa kona, Yanga alikuwa na kona 4, Simba 1, fouls Yanga 17 Simba 11, offsides Yanga 4 Simba 1 huku Yanga akiwa na kadi mbili za njano na Simba akiwa nazo tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live