Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sven- Goran Eriksson afariki Dunia

Skynews Sven Goran Eriksson 6662267 Meneja wa zamani wa England, Sven- Goran Eriksson

Mon, 26 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa England, Sven- Goran Eriksson raia wa Sweden amefariki Dunia leo Agosti 26, 2024 akiwa na umri wa miaka 76 baada ya kusumbuliwa na saratani ambayo haiwezi kupatiwa matibabu ya aina yoyote kwa vile ilishasambaa katika sehemu nzima ya mwili wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live