Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sure boy rasmi ndani ya Kijani na Njano

Sure Boy Off Usajili mpya Yanga, Salum Abubakar

Sat, 25 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Salum Abubakar "Sure boy" anmetambulishwa rasmi ndani ya Kikosi cha Yanga baada ya uvumi wa wiki kadhaa kuwa anakwenda Yanga.

Kiungo Salum Abubakar "Sure boy" anmetambulishwa rasmi ndani ya Kikosi cha Yanga baada ya uvumi wa wiki kadhaa kuwa anakwenda Yanga. Sure boy alikuwa akiitumikia Azam FC na hivi karibuni aliingia kwenye mgogoro na uongozi wa Klabu hiyo na kusimamishwa kwa miezi kadhaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live