Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sub za Mamelodi zinaanza kikosi cha kwanza Yanga - Nasri

'Wachezaji Wanaokaa Benchi Mamelodi, Yanga Wanaanza Kikosi Cha Kwanza' Wachezaji wanaokaa benchi Mamelodi, Yanga wanaanza kikosi cha kwanza - Nasri

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mcahambuzi wa soka Bongo, Nasri Khalfan amesema kwenye kikosi cha Mamelodi Sandowns wapo wachezaji ambao wanaanzia benchi lakini wakija Yanga SC wanaanza kikosi cha kwanza.

Hiyo imekuja baada ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe kusema wachezaji saba wa Yanga wanaweza kuanza kikosi cha kwanza pale Mamelodi.

"Sikubaliani na kauli kuwa kuna wachezaji 7 wa Yanga wanaanza moja kwa moja kikosi cha Yanga, Kiuhalisia kuna Wachezaji wanakaa Benchi Mamelodi Sundowns lakini wakija Kikosi cha Yanga ndio wanaanza moja kwa moja vizuri tu” @nasrikhalfan_ kuhusu kauli ya Ali Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live