Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Suarez kununua Mkataba wake ili akaungane na Messi

Luis Suarez Gremio Luis Suarez

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Luis Suarez yuko tayari kulipa gharama ya mkataba wake ambao umesalia ndani ya klabu ya Gremio ya Brazil ili aweze kuondoka klabuni hapo na kwenda kujiunga na Inter Miami ya nchi Marekani.

Inter Miami ni klabu ambayo rafiki yake wa karibu Lionel Messi amejiunga nayo baada ya kuondoka PSG kama mchezaji huru.

Msimu uliopita Luis Suarez alijiunga na Gremio kwa mkataba wa miaka 2 ambao atapaswa kuutumikia hadi 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live