Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Suarez atupia hat-trick Gremio ikipindua meza kibabe

Luis Suarez Gremio Suarez atupia hat-trick Gremio ikipindua meza kibabe

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na Barcelona, Luis Suarez amefunga hat-trick na kuisaidia klabu yake ya Gremio iliyokuwa nyuma 3-1 mpaka dakika ya 49 kushinda 4-3 dhidi ya Botafogo kufuatia magoli ya Suarez dakika ya 50, 54' na 69.

FT: Botafogo 3-4 Gremio

⚽ Costa 6

⚽ Santos 29'

⚽ Freitas 47'

⚽ Galdino 10'

⚽⚽⚽ Suarez 50' 54' 69'

Chanzo: www.tanzaniaweb.live