Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Suarez alivyokaribia kutua Real Madrid

Suarez X Ben Suarez alivyokaribia kutua Real Madrid

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Real Madrid walizungumza na wawakilishi wangu kabla ya Kombe la Dunia la 2014. Walitaka kunisaini na kila kitu kilikuwa kimeenda sawa”

"Walipanga kumuuza Karim Benzema kwenda Arsenal, kila kitu kilikuwa tayari kimekamilika kuhusu dili hilo"

“Kombe la Dunia lilipoanza, Barcelona waliingia kwenye kinyang’anyiro cha kunitaka, ni wazi niliipendelea sana Barca kwasababu ni timu ninayoipenda sana"

"Kutokana na ukweli huo ambao niliuweka wazi, Real Madrid wakakata tamaa, Barca wakazidi kupambana ili dili likamilike. Nilichagua Barca, kwa sababu ilikuwa ni timu ya ndoto zangu.

Suarez alifunga mabao 198 katika mechi 283 akiwa na Barcelona na kushinda mataji manne ya La Liga na UEFA Champions League.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live