Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Suarez: Neymar angebaki Barcelona angebeba Ballon D'or

Suarez Neymar Suarez: Neymar angebaki Barcelona angebeba Ballon D'or

Tue, 7 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kauli ya Luis Suárez kwa nahodha wa Brazil Neymar kuhusu kutokuwa na tuzo ya Ballon D’Or

“Wakati Neymar anatuambia anataka kwenda PSG mimi na Messi tulimwambia kama unataka kushinda kila kitu baki hapa [Barcelona] au nenda Man City hizo ndio sehemu nzuri kwa kipaji chako “

“Naamini kama angebaki na sisi Barcelona sasa hivi angekuwa na Ballon D’Or “

Umemuelewa Luis Suarez?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live