Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika mpya Yanga aanza kutupia

Hafizi Konkoni Mshambuliaji wa Yanga, Hafiz Konkoni

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika mpya wa klabu ya Hafiz Konkoni unaambiwa hana muda wa kupoteza, ambapo asubuhi ya leo amefanikiwa kutupia goli katika ushindi wa magoli 6-1 walioupata Yanga kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Friends Rangers ya jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga yamefungwa na washambuliaji Crispin Ngushi aliyefunga mara mbili, Clement Mzize na Hafiz Konkoni, Pacome Zouzoua na Stephanie Aziz KI.

Je, unahisi Hafiz Konkoni atafanikiwa kuziba pengo la Mayele?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: