Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika la mabao Azam mguu nje, mguu ndani

Diao 91 1024x896.png Mshambuliaji wa Azam Alassane Diao

Thu, 20 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC ipo kwenye mazungumzo ya kuachana na Mshambuliaji wao Alassane Diao (21)

Mpaka sasa pande hizo mbili bado hawajafikia mwafaka na mkataba wake umebaki mwaka mmoja.

Kuhusu Ali Ahamada (Mlinda mlango) dili lake la kuondoka ni Complicated, anaweza akabaki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live