Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika la Mabao Algeria kukosa Taifa Stars

Staa Akgeria Straika la Mabao Algeria kukosa Taifa Stars

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Al Sadd Baghdad Bounedjah alipata majeraha yaliyomfanya akose mazoezi ya timu yake ya taifa jana usiku.

Mshambuliaji wa klabu ya Al Sadd Baghdad Bounedjah alipata majeraha yaliyomfanya akose mazoezi ya timu yake ya taifa jana usiku. Mshambuliaji huyo hatari huenda akawa pigo kwa timu ya taifa ya Algeria endapo wataikosa huduma yake kwenye mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Tanzania septemba 7,2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live