Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika Zambia atua Saudia

Justin Shonga Signs For Najran FC 780x470.jpeg Justin Shonga

Thu, 8 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia , Justin Shonga amejiunga na Klabu ya Najran Sport Club ya Daraja la Pili la Saudi Arabia akitokea Klabu ya Gagra FC ya Georgia.

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia , Justin Shonga amejiunga na Klabu ya Najran Sport Club ya Daraja la Pili la Saudi Arabia akitokea Klabu ya Gagra FC ya Georgia. Shonga amesaini Najran kwa Mkataba wa Miezi sita ambao atakaa hapo hadi mwisho wa msimu huu na huku kukiwa na chaguo la kuongeza Mkataba mwingine mwishoni mwa msimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live