Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika Yanga Princess awania tuzo ya MVP Ghana

Sedau Mshambuliaji Mpya Wa Yanga Princess Faiza Seidu

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Mpya Wa Yanga Princess Faiza Seidu ameingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya Mchezaji bora wa Kike wa Mwaka Nchini Ghana.

Faiza amemaliza Msimu 22/23 akiwa katika nafasi ya 3 ya ufungaji kwa kufunga magoli 15,

Katika Orodha hiyo pia yupo Marry Amponsah ambaye alikuwa akihusishwa kuhitajika ndani ya klabu ya Simba Queens kabla ya dili hilo kushindwa kukamilika katika dakika za mwisho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: