Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika West Ham awaomba radhi Liverpool

Antonio X LIverpool Apology Straika West Ham awaomba radhi Liverpool

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji was West Ham Michail Antonio amewaomba radhi Liverpool kwa kauli yake aliyoitoa mwanzoni mwa msimu akisema msimu huu West Ham itamaliza ligi ikiwa juu ya Liverpool

“Mwanzoni mwa msimu nilitoa kauli kwamba msimu huu tutamaliza msimu juu ya Liverpool yale yalikuwa mawazo yangu binafsi lakini nitumie fursa hii kuwaomba radhi wachezaji na mashabiki wa Liverpool kwa kauli ile”

Kazi kwenu mashabiki wa Liverpool kuhusu kuipokea radhi ya Antonio lakini kwenye msimamo nukta muhimu ni kwamba West Ham ipo chini ya Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live