Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika Man United aweka rekodi EPL

Rasmus Hojlund 21 Straika Man United aweka rekodi EPL

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuifungia Manchester United magoli mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Luton Town, mshambuliaji Rasmus Højlund ameweka rekodi ya kuwa mchezaji chipukizi zaidi kufunga goli kwenye mechi 6 mfululizo za Ligi Kuu England.

Orodha ya wachezaji kinda zaidi kufunga goli kwenye mechi 6 mfululizo za Ligi Kuu England kihistoria

1. Rasmus Højlund – miaka 21 na siku 14

2. Joe Willock – miaka 21 siku 272

3. Erling Haaland – miaka 22 siku 73

4. Romelu Lukaku – miaka 22 siku 213

5. Thierry Henry – miaka 22 na siku 263

Chanzo: www.tanzaniaweb.live