Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika EPL aitaka Nigeria

Elijah Adebayo Hattrick Joy Mshambuliaji wa Luton Towns Elijah Adebayo

Sun, 18 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Luton Towns Elijah Adebayo (26)amesema matamanio yake ni kuitumikia timu ya Taifa ya Nigeria ambayo ndio asili ya mama yake mzazi.

“Natamani kuiwakilisha Nigeria ili Mama yangu ajivunie mimi na najua atafurahi”

Elijah hadi sasa ana goli tisa (9) kwenye EPL

Chanzo: www.tanzaniaweb.live