Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika Belouizdad: Tunaiheshimu Yanga kama Al Ahly, Mamelodi

Lamin Jallow Mshambuliaji wa CR Belouizdad, Lamin Jallow

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mechi kati ya Yanga SC dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria, Mshambuliaji wa waarabu hao Lamin Jallow baada ya kutua Tanzania amesema kuwa wanaiheshimu Yanga kama ambavyo wanaiheshimu Al Ahly au Mamelodi kwani wanaendana ukubwa

"Tunafahamu Yanga nikubwa kama zilivyo Al Ahly au Mamelodi na ndio maana wachezaji wote tuliokuja kwa ajili ya mchezo huu tuna ari ya kutafuta ushindi wa wakihisttoria hapa Tanzania.."

"Hali ya hewa kwetu sio changamoto unajua Afrika ni kama eneo moja, Mimi nimezaliwa Gambia na leo ndio mara yangu ya kwanza kufika ndani ya Tanzania lakini najihisi kama vile nipo kwetu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: