Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stoke City yatangaza kocha mpya

1355 Wolverhampton Wanderers Manager Paul Lambert Before The Match

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Stoke City ya England imemtangaza Paul Lambert kuwa maneja mpya wa tiimu hiyo na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mark Hughes aliyetimuliwa kazi mapema mwezi huu.



Lambert, mwenye umri wa miaka 48, anaamini ataweza kukisaidia kikosi cha City ameyasema hayo kupitia mahujiano yake na Bet365 mwishoni mwa wikiend.

Meneja huyo wazamani wa Wolverhampton Wanderers amesaini mkataba wa miaka miwili na miezi sita ya kuitumikia klabu hiyo inayoshika nafasi ya 18 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 20.

Chanzo: bongo5.com