Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Steven Gerrard: 'Mpunga' atakaovuta kocha mpya wa Villa hadharani

B6e681f0014784cd8d7ffb7f8da7a72b Steven Gerrard ndie Kocha mpya wa Aston Villa

Thu, 11 Nov 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Suala si Steven Gerrard kuwa kocha mkuu wa Aston Villa, bali ni atavuna nini kwa mwaka?

Baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kama Kocha Mkuu wa Villa, imefahamika kuwa nyota hiyo wa zamani wa Liverpool, atavuma kiasi cha Paundi milioni tano kama malipo ya kibarua chake kipya.

Pesa hizo zinamfanya Gerrard kuwa kocha anayelipwa zaidi katika historia ya makocha wa klabu hiyo.

Baada ya miaka sita kuondoka England kama mchezaji wa Liverpool, Gerrard anarejea tena kama kocha mkuu wa Aston Villa, akichukua nafasi ya Dean Smith ambaye aliondolewa siku nne zilizopota kutokana na matokeo mabovu

Chanzo: www.habarileo.co.tz