Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sterling mambo safi Chelsea

TALKSPORT STERLING CHELSEA Sterling na Chelsea

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano binafsi na mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya England, Raheem Sterling juu ya uhamisho kwenda Stamford Bridge.

Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano binafsi na mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya England, Raheem Sterling juu ya uhamisho kwenda Stamford Bridge. Dau la uhamisho huo lipo ukingoni kutangazwa baada ya maafikiano baina ya vilabu hivyo huku mshahara wa pauni laki tatu kwa wiki ukiwa mezani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live