Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sterling aikataa ofa nono ya Waarabu

Raheem Sterling Achunguzwa Raheem Sterling

Sat, 17 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inaelezwa kuwa Mshambuliaji wa Chelsea, Raheem Sterling amekataa ofa ya kwenda kucheza Soka Nchini Saudi Arabia ambapo aliahidiwa kulipwa takriban mara tatu ya kiasi anacholipwa kwa sasa

Kama angekubali ofa hiyo, raia huyo wa Uingereza angeweza kuwa mmoja wa Wachezaji watatu wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi katika ‘Saudi Pro League’

Sterling (29) inadaiwa analipwa mshahara wa Pauni 300,000 (Tsh. Milioni 958) kwa wiki

Chanzo: www.tanzaniaweb.live