Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stars watua kibabe, waingia kambini kuwawinda Zambia

Stars Watua Kibabe, Waingia Kambini Kuwawinda Zambia Stars watua kibabe, waingia kambini kuwawinda Zambia

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa “Taifa Stars” imewasili Tanzania ikitokea Indonesia ilipokwenda kucheza mechi za kirafiki.

Kikosi hicho kinaingia kambini moja kwa moja kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Zambia wa kufuzu kombe la Dunia utakaopigwa Juni 11, 2024.

Stars watasafiri kuwafuata Zambia kucheza mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live