Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stars washikilia hatma ya Kocha Uganda

Micho Uganda Kocha Mkuu wa Uganda, Milutin Sredojevi? "Micho"

Mon, 27 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka Nchini Uganda zinaripoti kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) Milutin Sredojević atafutwa kazi endapo atapoteza kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania ugenini.

Taarifa kutoka Nchini Uganda zinaripoti kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) Milutin Sredojević atafutwa kazi endapo atapoteza kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania ugenini. Uganda wako nchini Tanzania tayari kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano utakaopigwa kesho saa 2:00 usiku huku wakiwa na kumbukumbu ya kichapo cha bao 1-0 kwenye mchezo wa awali uliopigwa pale Suez Canal Stadium Jijini Ismailia nchini Misri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live