Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stars kukiwasha na Morocco leo, upi utabiri wako?

Tdtdtrdd Wachezaji wa Stars

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameahidi kutoa kila walichonacho uwanjani leo ili waweze kuibuka na ushindi katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco utakaochezwa kuanzia saa 4:00 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameahidi kutoa kila walichonacho uwanjani leo ili waweze kuibuka na ushindi katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco utakaochezwa kuanzia saa 4:00 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ushindi katika mchezo wa leo unaweza kuipeleka Taifa Stars kileleni mwa msimamo wa kundi E ambapo itafikisha pointi sita lakini hiyo itategemea na matokeo ya mchezo baina ya Niger na Zambia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live