Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stars itaanzia hapa kubeba ndoo ya AFCON

Laurent Pokou Satadium Uwanja wa Laurent Pokou

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uwanja wa Laurent Pokou jijini San Pedro ndipo itakapochezwa michezo ya Kundi F ambayo ina timu za Tanzania, Morocco, Congo DR na Zambia.

Uwanja huu una uwezo wa kuingiza watazamaji 20,000 na una nyasi asilia ambao ujenzi wake ulianza mapema 2018 chini ya serikali ya Ivory Coast na ulifunguliwa rasmi Septemba 9,2023.

Tanzania tunaamini hapa ndipo itakapoanzia safari ya Stars kubeba ndoo ya AFCON, unakubali au unakataa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live