Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stars ikifuzu tu, Wachezaji kuoga noti

Taifa Stars Players Wachezaji wa Taifa Stars

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa Taifa Stars itafuzu Afcon, itajihakikishia kitita cha Dola 534,000 (Sh 1.3 bilioni) kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF ), lakini pia wachezaji watapata bonasi ya Sh 500 milioni kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ikiwa Taifa Stars itafuzu Afcon, itajihakikishia kitita cha Dola 534,000 (Sh 1.3 bilioni) kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF ), lakini pia wachezaji watapata bonasi ya Sh 500 milioni kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Stars wanacheza mchezo wa mwisho Leo dhidi ya Algeria majira ya saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live