Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stars bila ya nyota wa Simba na Yanga

Metachaaaaa.jpeg Golikipa wa Stars, Metacha Mnata

Sun, 5 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Timu ya Taifa "Taifa Stars", Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 23 ambacho kitaingia kambini kesho kujua saa na mchezo wa kirafiki katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru dhidi ya Uganda Desemba 9.

Katika kikosi hicho hajajumuishwa mchezaji hata mmoja wa Simba au Yanga, bila shaka kuziachia fursa klabu hizo ya maandalizi ya pambano baina yao Desemba 11.

Hali kadhalika Simba wao wako kule nchini Zambia walipokwenda kukipiga na Red Arrows mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live