Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stars anatoboa mbele ya Niger leo

Tanzania Taifa Stars UT Stars anatoboa mbele ya Niger leo

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inashuka dimbani kuikabili timu ya Taifa ya Niger kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu fainali ya kombe la Dunia.

Taifa Stars itashuka dimbani saa moja jioni katika uwanja wa Marrakech Annex huko Morocco na baada ya hapo watarejea nchini kucheza dhidi ya Morocco siku ya Jumanne.

Kwenye mchezo wa leo ambao unaonekana kuwa wa kisasi, tunaweza kutoboa mbele ya Niger ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live