Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stand United yaponea chup chup

Stand Unitedsz Stand United yaponea chup chup

Fri, 17 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Stand United Fc kutoka mkoani Shinyanga imefanikiwa kusalia kwenye ligi ya NBC Championship mara baada ya kushinda mechi yake ya mtoano dhidi ya Copco Fc kutoka mwanza kwa uwiano wa magoli 3-2 kwa michezo miwili.

mechi ya kwanza ilichezwa Uwanja wa Nyamagana na ilitamalizika kwa Copco Fc kushinda magoli 2-0 na mechi ya marudiano ilichezwa katika dimba la Kambarage na timu ya Stand United ikashinda magoli 3-0.

Rasmi timu ya Stand United itashishiriki NBC Championship League msimu ujao mara baada ya kuponea Chupu chupu kushuka Daraja.

Kibarua kimebaki kwa Copco Fc ya Mwanza ambao watacheza na Mwadui Fc ili kujinusuru wasirudi First League.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live