Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa wa zamani Liverpool atoa mifuko 1000 ya mchele kwa waislamu

Naby Keita Msaada Guinea Naby Keita

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa wa timu ya taifa ya Guinea na klabu ya Werder Bremen ya Ujerumani Naby Keita wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, (Siku ya jumatatu) alitoa mifuko 1000 ya mchele kwa waumini wa dini la Kiislamu nchini Guinea,

Nahodha wa wa timu ya taifa ya Guinea na klabu ya Werder Bremen ya Ujerumani Naby Keita wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, (Siku ya jumatatu) alitoa mifuko 1000 ya mchele kwa waumini wa dini la Kiislamu nchini Guinea, Hii imekuwa ni desturi kwa Naby Keita kila mwezi wa Ramadhani kutoa Chochote kitu kwa Waumini wa dini ya kiislamu nchini Kwao (Guinea).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live