Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa wa timu ya Wanawake mwenye digrii

Mchezaji Sd Staa wa timu ya Wanawake mwenye digrii

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michelle Alozie (26) ni Mchezaji wa Mpira wa Miguu Timu ya Taifa ya Wanawake Nchi Nigeria.

Mbali na Kipaji cha Michezo, Michelle ni Msomi, ana Degree ya Molecular Biology kutoka Yale University, USA.

Kwa upande wa klabu, Michelle anacheza Kwenye Ligi ya Marekani, Timu inaitwa Houston Dash. Mbali na Ajira ya Mpira wa Miguu pia ameajiriwa kama mtafiti kuhusu Ugonjwa wa Kansa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live