Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa wa Brentford aipa matumaini England

Maupay Mshambuliaji wa klabu ya Brentford Neal Maupay

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Brentford Neal Maupay ameandika "Its Coming home" [Linakuja nyumbani] kwenye ukurasa wake wa X baada ya England kutoa sare kwenye mchezo wa pili wa Euro jana jioni.

Mshambuliaji wa klabu ya Brentford Neal Maupay ameandika "Its Coming home" [Linakuja nyumbani] kwenye ukurasa wake wa X baada ya England kutoa sare kwenye mchezo wa pili wa Euro jana jioni. Kwa namna ulivyoona alichokiandika Neal Maupay alikuwa anatoa kejeli au ndio amemaanisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live