Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa Real Madrid asaka mpenzi mtandaoni

Jude Bellingham To Madrid Jude Bellingham

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jude Bellingham anasaka mpenzi wa maisha yake katika mtandao maalumu unaoitwa App Raya baada ya kuchanana mpenzi wake Asantewa Chitty.

Kiungo huyo aliyetimia umri wa miaka 20 wiki iliyopita inasemekana aliachana na mpenzi wake huyo ambaye ni mwanamitindo tangu mwaka jana.

Vilevile nyota huyo amejiunga na mtandao maarufu wa TiKToker Azran Mian kwa ajili kuchati na watu mbalimbali.

Chanzo cha habari kimeripoti kwa sasa Bellingham yupo bize na masuala ya soka lakini ameendelea kusaka mpenzi mpya ambaye ataanza naye maisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live