Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa Man City akanusha kuachana na mkewe

Kyle Walker X Annie Mlinzi wa Man City, Kyle Walker

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Manchester City Kyle Walker amekanusha kutengana na mkewe Annie licha ya wao kuwa na ugomvi baada ya mchezaji huyo kuonekana muda mwingi akiwa na ex wake Lauryn Goodman.

Kyle ameeleza kuwa ingawa kulikuwa na matatizo kati yake na mzazi mwenzie lakini haikumfanya mkewe Annie aachane naye.

Wawili hao walifunga ndoa mwaka 2021.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live