Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa Arsenal akerwa AFC, AFCON kuchezwa Januari

Tomiyasu Mchezaji wa Arsenal Takehiro Tomiyasu

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Arsenal Takehiro Tomiyasu amekosoa AFCON na Asian Cup kufanyika mwezi January na ameshauri zihamishwe mwezi June kama inavyofanyika UEFA Euro

“Natamani Asian Cup ichezwe mwezi June kama Euros, sijui kwanini tunacheza mwezi Jaunaari sio sisi tu bali hata AFCON ,hii sio nzuri kwa wachezaji “-

Maneno ya Tomiyasu kwenye mahijiano na gazeti la Evening Standard

Arsenal itamkosa Tomiyasu kwenye game sita kama Japan itafika hadi fainali kwenye mashindano ya Asian Cup kule Qatar January 12 hadi February 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live