Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa Arsenal afungua chumba maalum kwa ajili ya Ibada, maombi

Mohammed Eleneny Msikiti Mohamed Elneny

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mohamed Elneny amefungua chumba cha kwanza cha maombi cha Kwa mara ya kwanza katika klabu ya Arsenal katika uwanja wa Emirates.

Akizungumza mara baada ya tukio hilo Mohammed Elneny anasema;

"Kuwa na nafasi hii ya kutafakari na kuomba kutabadilisha maisha ya wachezaji wa baadaye wa Arsenal."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live