Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Spurs wapokea kichapo cha pili mfululizo EPL

Spurs Vs Wolves Spurs wapokea kichapo cha pili mfululizo EPL

Sat, 11 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kupoteza mechi ya kwanza dhidi ya Chelsea kwa mabao 4-1, Klabu ya Tottenham Hotspur leo imefungwa tena dhidi ya Wolves.

Spurs imepoteza mchezo wa pili mfululizo wa ligi ambapo kabla ya hapo ilikuwa haijapoteza mchezo wowote katika mechi 12 ikisinda minane, sare mbili na kupoteza mbili.

Licha ya kupoteza mechi mbili mfululiza, Spurs ipo nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England ikiwa na pointi 26 nyuma ya Manchester City yenye 27 na mechi moja mkononi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live