Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Spurs kufanya biashara na Arsenal usajili wa Balogun

Folarin Balogun 1140x640 Folarin Balogun

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Totteham Hospurs inaripotiwa kuisaka huduma ya Mshambuliaji Folarin Balogun kutoka ndani ya klabu ya Arsenal.

Arsenal wameweka wazi kwamba bei ya kumpata Balogun kwa timu yoyoyte inayomtaka ni £47.5m.

Tottenham ipo sokoni kumsaka Mshambuliaji wa kuvaa viatu vya Harry Kane aliyeuzwa kwenda klabu ya Baryen Munich.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live