Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

SportPesa wameongeza nguvu michuano ya vyuo vikuu 2017

97 Screen Shot 2017 12 12 At 3.45.43 PM 660x400.png

Tue, 12 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa leo Jumanne ya December 12 2017 imetangaza rasmi kuingia udhamini na michezo ya vyuo vikuu itakayofanyika mjini Dodoma.

Kutoka kushoto ni Gadner G Habash mtangazaji wa Clouds FM, Sabrina Msuya afisa uhusiano SportPesa akiwa na mtendaji Mkuu wa SHADAKA Nasry Msulwa.

SportPesa imedhamini na kukabidhi vifaa kwa mwenyekiti wa Tanzania Universities Sports Association ( TUSA) Winstone Mdegela ikiwa ni siku chache kabla ya kuanza kwa michuano hiyo December 14 2017 na itamalizika December 20 2017.

Mashindano ya vyuo vikuu kwa mwaka 2017 yatashirikisha vyuo vikuu 23 na inaandaliwa na Clouds Media Group na SHADAKA Sports Management wakipewa udhamini na SportPesa.

VIDEO: Atayofanya Mo Dewji kwa Simba ndani ya mwaka mmoja

Chanzo: millardayo.com