Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Spaletti Kocha mpya Italia

Luciano Spaletti Luciano Spalletti

Sat, 19 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa Fabrizio Romano Luciano Spalletti ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Italia.

Kwa mujibu wa Fabrizio Romano Luciano Spalletti ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Italia. Luciano Spalletti amesaini mkataba hadi Juni 2026 akichukua nafasi ya Roberto Mancini ambaye ameamua kujiuzulu wiki iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live