Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Soyuncu ajiunga Atletico Madrid

OQ OFF PLATFORM Soyuncu Atleti Ça?lar Söyüncü

Thu, 6 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Çağlar Söyüncü (27) amefanikisha uhamisho wake wa kujiunga na Atlético Madrid kwa Uhamisho wa bure akitokea Leicester city baada ya mkataba wake kumalizika.

Çağlar Söyüncü (27) amefanikisha uhamisho wake wa kujiunga na Atlético Madrid kwa Uhamisho wa bure akitokea Leicester city baada ya mkataba wake kumalizika. Çağlar Söyüncü amesaini mkataba wa miaka 4 hadi Juni 2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live