Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Southgate moto ule ule mpaka Kombe la Dunia

Gareth Southgate England.jpeg Gareth Southgate.

Fri, 12 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chama cha soka Nchini England (FA) kinapanga kumshawishi mkufunzi Gareth Southgate kuendelea kukinoa kikosi cha England mpaka fainali za kombe la Dunia 2026 bila kujali matokeo ya mchezo wa fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 dhidi ya Uhispania siku ya Jumapili.

Mkataba wa sasa wa Southgate unatakatika Mwezi Desemba mwaka huu lakini bosi wa FA, Mark Bullingham anapanga kufanya mazungumzo na kocha huyo baada ya michuano hiyo.

England itakabiliana na Uhispania kwenye fainali za EURO 2024 itakayopigwa siku ya Jumapili Julai 14, 2024 Mjini Berlin Ujerumani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live