Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Souaibou Marou atua Orlando Pirates

OPFC Souaibou Marou Web Souaibou Marou atua Pirates

Thu, 19 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Orlando Pirates imetangaza kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Cameron Souaibou Marou kutoka Coton Sport.

Klabu ya Orlando Pirates imetangaza kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Cameron Souaibou Marou kutoka Coton Sport. Mkataba wa mshambuliaji huyo utamfanya kudumu Orlando Pirates hadi msimu wa 2024/2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live