Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Soonsup-Bell atua Spurs

WhatsApp Image 2023 01 31 At 16.jpeg Jude Soonsup-Bell

Tue, 31 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wa mshambuliaji Jude Soonsup-Bell kwa ada ya uhamisho ambayo haijawekwa wazi kutoka Chelsea.

Klabu ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wa mshambuliaji Jude Soonsup-Bell kwa ada ya uhamisho ambayo haijawekwa wazi kutoka Chelsea. Soonsup-Bell (19) raia wa England amesaini mkataba wa kuitumikia Spurs mpaka 2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live