Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Somo kutoka Asec Mimosas tunalielewa lakini?

Asec Ushindi Somo kutoka Asec Mimosas tunalielewa lakini?

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vilabu vyetu kutoka Tanzania Tunatakiwa tujifunze kupitia Klabu ya ASEC Mimosas kutoka pale nchini Ivory Coast.

Wanauza sana wachezaji bora kila msimu. Lakini kwanini hawatetereki sana? Kuna siri gani kwenye ile timu??

Mpaka sasa kwa misimu ya karibuni wameuza nyota hawa

Stephane Ki Aziz (Yanga SC)

Pacome Zouzoua (Yanga SC)

Kouassi Yao Attohoula (Yanga SC)

Mohamed Zoungrana (MC Algiers)

Karim Konate (RB Salzburg)

Souleymane Coulibaly (Hapoel Hadera)

Richard Zumah (Difaa El Jadida)

Aubin Karmo (Simba SC)

Anicet Oura (Stellenbosch)

Olivier Toure (Stellenbosch)

Aboubakar Bamba (Cuiseaux B, Ufaransa)

Claude Singone (Al Hilal)

Cheick Sylla (Olympique Dcheira)

Oumar Diakite (Stade Reims) na wengine wengi...

Kuna siri gani pale The Association Sportive des Employes de Commerce Mimosas ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live