Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Skudu ni mchezaji wa 'YouTube'

Morrison Skudu28242 Skudu ni mchezaji wa 'YouTube'

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wa usajili wa msimu huu ndani ya Yanga SC mchezaji waliyempa promo ni Matse Manoko Makudubela ‘Skudu’ wakampa namba sita wakisena ndiyo usajili wa kishindo lakini mpaka Sasa katika michezo yote aliyocheza ajaisaidia Yanga siyo kufunga Wala kutoa assist.

Ukiacha mechi ya wiki ya Mwananchi ambayo alicheza kwa kiwango kidogo tangu amerudi kutoka majeruhi chini ya kocha Angel Gamondi hajapata nafasi na mechi ya juzi dhidi ya Ihefu amepata nafasi anaonekana fitness yake ipo chini lakini pia chenga zake alikuwa anapiga zisizo na faida tofauti na zile za Morrison alikuwa analitafuta boksi na kutengeneza nafasi au kufunga mwenyewe lakini pia alimpa beki wake wakati mgumu alikuwa ashuki kukaba ni sababu pia ya Ihefu kushinda Ile mechi.

Skudu tunaona ubora wake kwenye clip za Yanga TV ndiyo faida pekee anayowapa Yanga mpaka Sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live