Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Skudu hakustahili kuanza mechi ya Ihefu

Skudu Raha Skudu hakustahili kuanza mechi ya Ihefu

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi ya Ihefu ilimpalia Skudu Makudubela mapema sana ni mechi ambavyo ilikuwa na matumizi makubwa ya nguvu na kufikana mwilini unamuna fitness yake ipo chini sana sababu hajapata muda mwingi wa kucheza na sijuhi kwanini kocha alimpanga katika mechi ya namna hii alipata shida sana.

Skudu hakuna na msaada kwa timu ni miongini mwa sababu za Ihefu kushinda mechi dhidi ya Yanga SC wakati wanashambulia Skudu alipewa mpira lazima atachelewa nao dakika moja mpaka mbili.

Hali inayowafanya wapinzani kujipanga kwa haraka lakini pia chenga zake hazina faida maana hatengenezi hatari kwa kulitafuta boksi la mpinzani lakini timu ikiwa inashambuliwa alimpa wakati mgumu fullback wake hashuki chini kuja kumsaidia kukaba Hali iliwafanya Ihefu kutamba sana katika mchezo wa juzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: