Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Skudu apata timu

Skudu Makudubela Mbinu Mpt Skudu apata timu

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa Tovuti ya FarPost kutoka Afrika Kusini imethibitisha kwamba Skudu Makudubela tayari amepokea Ofa kutoka katika Klabu ya Magesi FC ambayo imefuzu kushiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu ujao.

Kwa mujibu wa Tovuti ya FarPost kutoka Afrika Kusini imethibitisha kwamba Skudu Makudubela tayari amepokea Ofa kutoka katika Klabu ya Magesi FC ambayo imefuzu kushiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu ujao. Young Africans SC haina mpango wa kuendelea na huduma ya Kiungo huyu mwenye ustadi wa kuchezea Mpira hivyo ataondoka mwishoni mwa Msimu huu akiwa mchezaji huru.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live