Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Skudu: Nimeshajua namna ya ku-deal na Gamondi

Skudu Makudubela Mbinu Mpt Skudu: Nimeshajua namna ya ku-deal na Gamondi

Thu, 1 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Yanga kutoka Afrika Kusini, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’, amesema amegundua mbinu mpya ya kupata muda zaidi wa kucheza kikosini.

Winga wa Yanga kutoka Afrika Kusini, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’, amesema amegundua mbinu mpya ya kupata muda zaidi wa kucheza kikosini. “Kwa ushindani uliopo nimegundua kuwa ili niweze kuwa na nafasi zaidi lazima nifanye kitu cha tofauti kila ninapopata nafasi. Kila kocha atakaponipa nafasi lazima nionyeshe kuwa nilistahili kwa kufanya jambo ili kuweza kumfanya mwalimu anipe namba zaidi,” amesema Skudu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live