Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Siri kubwa tatu ushindi wa Yanga vs KMC

Job Goal Vs Sirri Siri kubwa tatu ushindi wa Yanga vs KMC

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga ilipata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni miaka 10 imepita tangu ipate ushindi mkubwa kama huo katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Ashanti United wa 5-1 kwa msimu wa 2013/2014.

Siri tatu zilizojificha katika ushindi huo wa Yanga ni;

1. Bao la kwanza lilifungwa na beki Dickson Job akiwa na jezi namba 5 mgongoni.

2. Mchezo huo ulichezwa siku ya Jumatano.

3. Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 5-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: